Malaika by Miriam Makeba

Malaikaaa, aaah Nakupenda Malaika Malaikaaa, aaah Nakupenda Malaika Ningekuoa mali we Ningekuoa dada Nashindwa na mali sina weee, eeeh Ningekuoa Malaika (2) Pesaaa, aaah Zasumbua roho yangu Pesaaa, aaah Zasumbua roho yangu Nami nifanyeje Kijana mwenzio Nashindwa na mali sina weee, eeeh Ningekuoa Malaika (2) Kidegeee, eeeh Hukuwaza kidege Kidegeee, eeeh Hukuwaza kidege Nami nifanyeje […]

Continue reading